wanafunzi wasema hapana

Manaibu wa Chansela wa vyuo vikuu vya umma nchini,wamesisitiza kuwa ni sharti karo ya vyuo vikuu iongezwa,ili kuimarisha huduma kwenye taasisi hizo za elimu ya juu nchini.
Mwenyekiti wa kamati ya manaibu wa chansela wa vyuo vikuu Francis Aduol,amesema kua pana haja ya kuongezwa kwa karo kwa hadi mara tatu,kutkana na kile aachosema ni kupanda kwa gharama ya kusimamia vyuo vikuu nchini.
Aduol amesema kua pesa ambazo serikali huvitengea vyuovikuu nchini kwa sasa,hazitoshi.
Hata hivyo,pendekezo la kuongea karo limepingwa vikali na wabunge na wanafunzi wa vyuo vikuu vya umma chini.
Tulipozungumza na wanafunzi wa chuo kikuu cha Maseno baadhi yao walikataa kuongezwa kwa karo na kusema serikali watafute njia  zingine za kupata hela na siyo kuwanyanyasa wanafunzi na wazazi kwa kuongeza karo.

Comments

  1. wanafunzi ni lazima wakatae kwa kuwa gharama ya maisha haijapanda kwa nchi pekee ila jamii pia...nawaunga mkono🖐

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

Mahakamani

Jeshy Tisa Ya Kogalo wabandua Petro Atletico!

Brazil Sent Packing As Croatia Proceeds To Semi Finals