Gani Kali,Manchester ama Arsenali?
Mbivu na mbichi itajulikana leo usiku kati ya Manchester United na Arsenal watakapopambana kuanzia saa moja unusu ugani emirates kwenye mechi ya kung'ang'ania bingwa la taji ya EPL.
Timu izi mbili zilikutana mwisho mnamo tarehe 25 mwezi January kwenye kombe la FA ambapo Manchester walitoka naushindi wa mabao 3 kwa moja.
Ushindani kati ya Manchester United na arsenali inatambulika sana kwenye ligi ya uingereza kwa kuwa timu zote mbili zinahistoria ya kusisimua si haba.
Timu izi zimekutana mara 230 ambapo manchester imetoka na ushindi mara 97 huko arsenali ikishinda mara 82 na kutoka sare mara 51.
Ushindi kubwa kwa historia ilikuwa mnamo mwezi August mwaka 2011 ambapo Manchester united waliwapiga Arsenal kwa mabao nane kwa mbili ugani Old Traford.
Manchester wanaenda kwenye hii mechi wakiwa kwa nafasi nzuri tangu wapate kocha msimamizi Ole Gunnar Solskjær,wameshinda mechi zote huko wakitoka sare mbili tu dhidi ya Liverpool na Burnley.
Arsenal pia wameonyesha mchezo nzuri mwakani kwa hivyo tunatarajia mechi ya kusisimua sana Emirates.

Comments
Post a Comment