Mahakamani

Wanaume wawili wenye umri wa makamu leo hii wamejipata taabani walipopelekwa kwenye mahakama ya Winam iliyoko jijini Kisumu kwa makosa la kukiuka sheria za barabara.

Mbele ya hakimu Benard Kasavuli,mahakama iliambiwa kuwa wanaume hao kwa jina Charles Juma na George Ochieng'  hawakuzingatia sheria za barabara tarehe 5 mwezi huu kwenye njia ya kakamega kisumu.

Bwana George alikuwa akiendesha pikipiki  enye windscreen iliyopasuka huko Charles akihutumiwa kuendesha pikipiki bila reflector jacket na  pia helmet.

Walikubali mashtaka na kuachiliwa baada ya kutozwa faini.

Charles Juma ametozwa faini ya shilingi alfu 2500 ama mwezi moja gerezani huko George Ochieng' akitozwa faini ya shilingi alfu moja ama mwezi moja gerezani .

Comments

Popular posts from this blog

Mahakamani

Jeshy Tisa Ya Kogalo wabandua Petro Atletico!

Brazil Sent Packing As Croatia Proceeds To Semi Finals