Ramos Apigwa Marufuku!!!
Beki wa timu ya Real Madrid Sergio Ramos amepigwa marufuku ya kutocheza Mechi mbili za taji la EUFA kwa kosa la kupewa kadi ya njano kwa maksudi.
Mhispania huyo atakosa mechi ya mkondo wa kwanza ya robo fainali iwapo wataiondoa Ajax siku ya Jumanne.
Ramos alionyeshwa kadi ya njano kwenye mechi yao ya kwanza dhidi ya Ajax ugani Amsterdam kwa hivyo alifaa kukosa mechi ya marudiano nyumbani Santiago Bernabeu.
Ramos alisema kwamba kadi hiyo ilikuwa ya kujitakia.
Difenda huyo ambaye ndiye nahodha wa timu ya Real Madrid aliongeza kuwa alitaka hiyo kadi ili angalau akose tu mechi za marudiano dhidi ya Ajax na siyo kukosa mechi za robo fainali.
Lakini mpango wake haukufua dafu hata baada ya kujitetea kwenye Twitter ya kwamba hakupangia kadi hiyo .
Bodi ya shirikisho la soka barani ulaya EUFA inayosimamia udhibiti,maadali na adhabu imempiga mchezaji huyo marufuku ya mechi mbili.

Comments
Post a Comment