Maazimio ya Kongamano!
Ni takriban wiki moja tangu kongamano la kimataifa kuhusu makazi ya kutosha na gharama ya chini kukamilika.
kongomano hilo ambayo ilipangwa na shirika la Grassroot Trust ikiungana na kaunti ya Kisumu ilichukua siku tatu huko watu wakijufunza mambo mengis sana kuhusu makazi bora.
Bwana Lawrence Apiyo ambaye ndiye Mratibu wa Grassroot Trust ameambia radio sahara kwamba kutokana na kongamano hilo ,wako na maazimio mbalimbali za kutekeleza ili kuimarisha makazi jijini kisumu .
Maazimio hayo ni pamoja na;
Kuuungana na mashirika zisizo za serikali na serikali ya kaunti ya kisumu ili kuhakikisha kwamba wakazi wa kisumu wanaishi kwa nyumba zenye gharama za chini,zenye usalama na maji,na vituo vya afya.
Kuheka mashirika mbalimbali za nyumba na makazi{cooperative housing},kupanga jumuiya wanakoishi wananchi,Kuhekeza ardhi zinazomilikiwa na jamii{community landtrust} na pia kuimarisha sera ya makazi.{housing policy}
Bwana Lawrence ameongeza kwamba watatumia mtaa wa mabanda ya Shaurimoyo kujenga majumba ya kisasa.
Kongamano kama hilolitaandaliwa mwezi wa Novemba mwaka ujao.
Comments
Post a Comment