Mchezaji bingwa wa PSG Neymar Junior amegadhibishwa sana  mwaumizi wa mechi kati ya PSG na Manchester United jana usiku.

Neymar amekuwa na hasira sana baada ya mechi hiyo na kumtusi mwamuzi huyo kwenye mtandao ya kijamii ya INSTAGRAM.

Mbrazil huyo Amesema analaumu sana Eufa kwa kuchagua waamuzi wanne ambao hawajui kazi zao vizuri ili kuongoza mechi kubwa kama  hiyo.

Hiii ni baada ya mwamuzi kupatia Timu ya Manchester penalti ambayo kwake Neymar haikufaa.
Neymar ambaye alikosa hiyo mechi kwa kuwa na majeraha amekiri kwamba mchezaji mwenza wa PSG Kimpede hakunawa mpira ila mpira ilimpiga mkono huko akiruka.

Kumbuka PSG walibanduliwa kutoka kwenye kombe hilo la kung'ang'ania taji la EUFA kutokana na mabao za ugenini na timu ya Manchester United.

Comments

Popular posts from this blog

Mahakamani

Jeshy Tisa Ya Kogalo wabandua Petro Atletico!

Brazil Sent Packing As Croatia Proceeds To Semi Finals