Taarifa Za Hivi Punde
Draw ya robo fainali kwenye ligi ya mabingwa Eufa imefanywa dakika chache zilizopita.
Juventus dhidi ya Ajax.
Huko Liverpool ikichuana na Porto.
Manchester City watacheza dhidi ya Totenham.
Draw hiyo imeleta maswali mengi kuliko majibu kati ya mashabiki,wachezaji na meneja kote nchini.
Maswali hayo ni pamoja na;
Je
vijana wa Ole Gunner ,Manchester United almaarufu mashetani wekundu
wataweza kuzima moto ya Barcelona wakiongozwa na Bingwa Lionel Messi?
Je
Christiano Ronaldo ataweza kuongoza vijana wa Juventus dhidi ya Ajax
ambao walishangaza wengi walipotoa timu ya real madrid ambapo Ronaldo
alikuwa akichezea kabla kujiunga na Juventus.
Comments
Post a Comment