Madrid Waaibishwa Santiago Bernabue
Timu ya Real Madrid walicharazwa na kuaibishwa mbele ya mashabiki wao ugani Santiago Bernabue siku ya jumanne usiku kwenye mechi ya kung'ang'ania bingwa kwenye taji la Eufa.
Real Madrid walienda kwenye hiyo mechi wakiongoza kwa magoli mawili kwa moja kutokana na ushindi yao kwenye mechi ya mkondo wa kawanza dhidi ya timu ya Ajax ugenini.
Hivyo basi waliitaji sare yeyote ili kujipea nafasi kwenye robo fainali lakini vijana wa Ajax walikuwa na nia nyingine.
Madrid ambao ndiye mabingwa watetezi kwenye taji hilo walionyeshwa vumbi na vijana wa Ajax walipowashinda kwa mabao nne kwa moja.
Timu ya Ajax ndiye waliotangulia kufunga bao mnamo dakika ya 7 kupitia kwa mchezaji wao Hakim Ziyech kabla ya Dusan Tadic kuongeza la pili na kuongoza kwa magoli mnamo dakika ya 18.
Bao lake Marcos Asensio ilikuwa tu ya kutoa machozi kwa timu ya real madrid baada ya Tadic kuongeza la tatu kwa vijana wa Ajax kisha Lasse Schone akaongeza chumvi kwenye kidonda alipoweka bao la nne na kubandua vijana wa real kutoka kwenye mashindano hayo.
Mechi iliisha kwa mabao manne kwa moja huko Nacho Fernandez akionyeshwa kadi nyekundi kwenye dakika za kuongezawa .

Comments
Post a Comment