spoti
Timu ya Gor mahia Almaarufu kama Kogalo leo hii itamenyana na timu ya Tusker fc mnamo saa kumi alasiri ugani Kasarani.
Kogalo
wapo kwenye nafasi ya tatu na pointi 26 kwenye jedwali ya ligi kuu ya
kenya KPL baada ya kucheza mechi 13 uko wapinzani wao Tusker
wakishikilia nafasi ya sita na pointi 22.

Mechi hizo zitaanza mida ya saa nne kaso robo ambapo,
Arsenal almaarufu kama the gunners watawalika vijana wa Bournemouth ugani emirates.
Southampton
wataiandaa Fulham fc ugani s.t Marys kabla ya mabingwa watetezi
Manchester City kujibwaga ugani Etihad dhidi ya westham united mida ya
saa tano kamili.
Chelsea watacheza kwao Stamford Bridge dhidi Totenham Hotspurs uko Liverpool wakiandaa Watford ugani Anfield.
Manchester Unted almaarufu kama mashetani nyekundu watecheza ugenini Selhust Park dhidi ya Crystal Palace.
Comments
Post a Comment