Eufa Europa League
Mechi za Eufa Europa League zilirejea usiku wa Alhamisi kwa raundi ya 32 ambapo mechi mbalimbali zilichezwa kwenye uga tofauti.
Arsenal
walilaza vijana wa Bate kwa mabao tatu kwa sufuri ugani
emirates,Redbull ikashinda timu ya club Brugge kwa mabao manne kwa
sufuri,Eintrach ilishinda Shahktar Donestk kwa mabao manne kwa
moja,Villareal wakatoka sare ya moja kwa moja dhidi ya Sporting,Dinamo
Zagreb walishinda Plzen kwa mabao tatu kwa sufuri,uko Zenit wakilaza
Fernabache kwa mabao tatu kwa moja,Valencia waliponyoka na bao moja
dhidi ya Celtic,uko Napoli wakashindi mbili kwa sufuri dhidi ya Fc
Zurich,Timu ya Genk walishindwa na Slavia Praha kwa mabao manne kwa moja
uko Inter milan ikilaza Rapid Wien kwa mabao manne kwa sufuri.
Vilevile
Bayern Liverkusen walilazimishwa kutoka sare na Fc Krasnodor,Benfika
pia nao wakatoka sare bila bao dhidi ya Galatasary,Real Betis
walishindwa kwao na Rennes kwa mabao tatu kwa moja,Dynamo Kyiv
walishinda kwa bao moja kwa sufuri dhidi ya Olympiacos Uko Chelsea
wakimaliza shughuli hayo kwa kulaza timu ya Malmo kwa mabao tatu mtungi.
Comments
Post a Comment