Haki za Mashoga na Wasagaji

Mahakama kuu ya Mlimani iliyoko jijini Nairobi iliairisha kesi inayohusisha wakenya wenye uhusiano za kimapenzi na jinsia moja hadi takriban mwezi mbili zijazo.

Kesi hiyo linalenga kupea mashoga haki kwenye katiba na kuhakikisha kwamba serikali limekubali ndoa ya watu wenye jinsia moja.
Mashoga hao wanataka haki zao ziheshimiwa na waache kudharauliwa na hata kupuuzwa mtaani kwa kuwa sio hatia kuchagua kupenda mwanamke ama mwanume mwenzako.

Kumbuka ushoga ni hatia kubwa sana kwenye katiba ya kenya na mtu anayepatikana kujihusisha na mpenzi ya jinsia moja anafaa kufungwa jela miaka kumi na nne kulingana na kifungo 162(a) na 162(c) ya katiba ya Kenya.
Nilipozungumza na wakazi wa kisumu,baadhi yao walikana sana mapenzi ya jinsia moja na kusema kwamba ni jambo linalokanwa hata kwa bibilia.
Ilhali kuna wale ambao walikubaliana na mapenzi ya jinsia moja na kusema wanamatumaini kwamba watu wenye jinsia moja watapata haki na kuweza kuishi na kupenda bila uoga uku nchini Kenya.

Je Mashoga wanapaswa kupewa haki?

Comments

Popular posts from this blog

Mahakamani

Jeshy Tisa Ya Kogalo wabandua Petro Atletico!

Brazil Sent Packing As Croatia Proceeds To Semi Finals