Sari akubali kuchukua lawama baada ya kushindwa na Bournemouth

Kocha wa timu ya Chelsea jana usiku alikubali lawama baada ya kushindwa na timu ya Bournemouth kwa mabao manne kwa sufuri.Kocha huyo alikutana na wachezaji wake kwa takriban saa moja kabla ya kuongea na wanahabari.
Sarri amesema wachezaji wake walicheza vizuri dakika za kwanza lakini baadaye wakaanza kupoteza mpira kwa urahisi hivyo basi kufungwa mabao mawili za mchezokwenye kipindi cha kwanza.
Chelsea ambao sasa wamesukumwa hadi nafasi ya tano kwenye ligi kuu ya uingereza waliongezwa mabao mengine mawili kipindi cha pili hicyo basi kushindwa mabao 4 kwa sufuri ,ushindi ambayo inakuwa mkubwa zaidi kwa miaki 23 zilizopita.#
Sarri vilevile amesema amejazwa na wasiwasi sana kwakuwa wasipocheza vizuri kwa mechi zijazo huenda wakakosa nafasi kwenye komnbe la eufa champions league msimu ujao.

Comments

Popular posts from this blog

Mahakamani

Jeshy Tisa Ya Kogalo wabandua Petro Atletico!

Brazil Sent Packing As Croatia Proceeds To Semi Finals