Posts

Showing posts from January, 2019

Sari akubali kuchukua lawama baada ya kushindwa na Bournemouth

Kocha wa timu ya Chelsea jana usiku alikubali lawama baada ya kushindwa na timu ya Bournemouth kwa mabao manne kwa sufuri.Kocha huyo alikutana na wachezaji wake kwa takriban saa moja kabla ya kuongea na wanahabari. Sarri amesema wachezaji wake walicheza vizuri dakika za kwanza lakini baadaye wakaanza kupoteza mpira kwa urahisi hivyo basi kufungwa mabao mawili za mchezokwenye kipindi cha kwanza. Chelsea ambao sasa wamesukumwa hadi nafasi ya tano kwenye ligi kuu ya uingereza waliongezwa mabao mengine mawili kipindi cha pili hicyo basi kushindwa mabao 4 kwa sufuri ,ushindi ambayo inakuwa mkubwa zaidi kwa miaki 23 zilizopita.# Sarri vilevile amesema amejazwa na wasiwasi sana kwakuwa wasipocheza vizuri kwa mechi zijazo huenda wakakosa nafasi kwenye komnbe la eufa champions league msimu ujao.

A drug victim's plea🤕😪

 I considered it passion🤞♥ But now it like commission😒 Taking it as a commitment😏 As without it comes torrents of torments😱😱 I wish I wouldn't have started taking it😞 For it now what I daily eat😧 I swear this is money consuming🤬 And health diminishing🤮🤮 My pretty nature before 🧑🏻👩🏻 Is now a memory so far😭😭 Suffering from various maladies🙁😨 With no effective remedies👹 This monster called a drug💀💀🚬 Into my life it has deeply dug⛏🕳 For no more hope left other than the grave⚰ After struggling insanity thrive🥴 Take it not🚬🙅🙅‍♂ Dream it not❌ Challenge it✔ For this is a drug victim's plea🙏🙏✍
Timu ya Kakamega Homeboyz wameshinda vijana wa Bandari Fc kwa mabao manne kwa sufuri ugani Bukhungu stadium kakamega.Mchezaji Alan Wanga alicheka na wavu mara mbili alipofunga bao la kwanza na la tatu mnamo dakika ya 26 na 65 mtawalia.Peter Thiong'o pia alijiheka kwenye kitabu cha wafunga bao alipoheka bao la pili mnamo dakika ya hamsini na saba uku Moses Mudavadi akikamilisha shughuli izo alipofunga bao la mwisho dakika ya themanini na moja. vilevile Timu ya Zoo Kericho walifungiwa bao la kipekee kupitia  mchezaji Kevin Omondi dhidi ya Fc Leopards ugani Green stadium ,Kericho. Kwingineko mabingwawa kombe la sportpesa Kariobangi sharks walitesa nyasi bure walipotoka sara ya suluhu bin suluhu dhidi ya viongozi kwenye ligi,Mathare united.Mechi iliyochezwa Nairobi City stadium. Tukisalia mchezoni,mabingwa mara kumi na saba kwenye kombe za KPL Gor mahia wameshinda wapinzani wao wakali Sony sugar mabao mawili kwa sufuri.Bao zote zilifungwa na Jaqcuis Tuyisenge mnamo...

Street life✴

All I own is a place along the street. I have no one for a tweet😥. Full dustbins🚮be my treat. The nights ☪ long and cold. But l have to face it bold😓. The family l have is God and l. But trust me there is more than meets your eye👀. The struggles I face to get my daily bread. Which to you are a dread😧 The clothes I wear old and torn. Got no time to wash cause no other to be worn😏 When ill 🤢no remedy No idea suffering from what malady🤮 Difficult is the street life😭😭

Love tale❣

If love was a story l would buy you a thousand books📕📕 If love was a meal🥞🍗I would hire you a thousand cooks👩‍🍳 Though love would come with its fears 😣 Be sure l will be the one to wipe your tears😇 If our love is immature 😶 Let us cherish our friendship moments👫till it matures If you are afraid that am gonna play 🥅 you dear Be fearless cause  such thoughts to my mind are mere🙅‍♂ I am not gonna play but translate our love to a play 🥰😘 And narrate to the world day by day🗓 For you hold a special place in my heart ♥ And to all who object may hurt😡😡 I would hold your hand🤞🤝 Like a magic wand🎉 In a fairy tale🎇 That we would live to tell💏💏

kamayotheblogger: Mechi za kpl

kamayotheblogger: Mechi za kpl : Mabingwa mara kumi na saba Gor Mahia almaarufu kama kogalo ,leo hii watajibwaga ugani ili kuendeleza kampeni zao za kutetea kombe ilo la...

Mechi za kpl

Mabingwa mara kumi na saba Gor Mahia almaarufu kama kogalo ,leo hii watajibwaga ugani ili kuendeleza kampeni zao za kutetea kombe ilo la KPL kwa mara nyingine dhidi ya  timu ya sony sugar kutoka Awendo. Mechi hiyo itachezwa majira ya saa kumi alasiri kwenye uga  ya Afraha jijini Nakuru na siyo machakos kama ilivyopangwa mbeleni. Sony sugar ambao ni wapinzani kuu wa Gor Mahia kwa hivi sasa wako mbele ya kogalo uko wakiachana na pointi 1 ,vijana wa Awendo wako nambari 8 na point 14 uku  kogalo wakiwa nambari 9 na pointi kumi na mbili baaada ya kucheza mechi nane ,mechi moja chini ya sony sugar. Tukisalia mchezoni,Timu ya Kariobangi sharks wako bao moja mbele dhidi ya Mathare united kwenye uga wa Nairobi city stadium,.Kwengineko Kakamega homeboyz bado wanatesa nyasi bure dhidi ya bandari kule Bhukungu stadium .Vilevile mambo ni sawasawa kati ya Kericho Zoo AFC Leopards  uko Grreen stadium,Kericho.

kesi mahakamani

Mahakama ya Winam jijini Kisumu, imeahirisha kesi inayomkabili Geofrey Omondi Otieno anayeshtakiwa na mashtaka mbili ya kuendesha gari akiwa mlevi na pia kupatiikana na madawa za kulevya kwenye gari hilo. Mbele ya hakimu Bernard Kasavuli, mahakama iliambiwa kua mwanaume huyo mwenye umri wa kati alipatikana mnamo tarehe28/01/2019 kwenye njia ya chiga kitu  saa tisa unusu ivi akiwa anaendesha  gari akiwa mlevi na pia gari lake kulikuwa na madawa za kulevya. Bwana Geofrey alikanusha madai hayo na hivyo basi hakimu akasema angeachiliwa kwa pesa za dhamana za shilingi 100,000. Kesi hiyo itasikilizwa tarehe28 mwezi Mei, mwaka huu. Tukisalia mahakamani Alexandra Orero anayeshatakiwa kuuza pombe baada ya masaa zilizowekwa alikubali mashtaka na kuomba msamaha kwenye koti hiyo ya winam. Bwana Orero inasemakana kua alikuwa akiuza pombe aina ya trace,napoleon, na bluemoon kondele jijini kisumu mnamo tarehe 28/01/2019 kitu saa tano za mchana. Ametozwa faini ya shillingi ...

Foleni kwenye usajili ya UHC

Wakazi wa Kisumu leo hii walijaa kwenye foleni ya kujiandikiza na UHC kwenye sehemu tofauti jijini,wanamatumai kuwa watapokea matibabu za bure iwapo wataugua hapo mbeleni.UHC ni mojawapo kati ya ajenda nne kubwa za serikali mwaka huu na kaunti ya kisumu ni moja wapo kati ya zile kaunti nne zikiwemo Isiolo,Machakos na Nyeri zilizochaguliwa. Nilipozungumza na baadhi ya wananchi waliojitokeza kwa shughuli izo kwenye uga ya kucheza ya JomoKenyatta,wamesema kuwa wanatumai UHC itasaidia wananchi wengi sana hasa wasio na uwezo wakujilipia matibabu. Vilevile Cathy Oduol ambaye ni ajenti ya UHC jijini kisumu pia ameongeza kuwa mkenya yeyote anaweza jiandikisha na UHC bora awe na kitambulisho na pia watoto wenye umri kati ya mwaka moja hadi ishirini na tatu wanaweza jiandikisha pia. wale amabao wamejisajili tayari lakini bado wangependa kuongeza watu kwenye kadi yao wanaimizwa kufanya hicyo kabla ya tarehe thelathini na moja mwezi huu ambapo shughuli hizo zitaisha.

Hazard aongoza chelsea dhidi ya spurs kuwafikisha fainali za carabao cup

Chelsea wamejinyakulia nafasi kwenye fainali za kombe la carabao dhidi ya Manchester City itakaochezwa ugani wembly  mwezi ujao baada ya kushinda Totenham kwenye mkwajo za penalti jana usiku. Spurs walikuwa wanaongoza na bao moja kutokana na bao la Harry Kane kwenye mchwano wao wa kwanza,hivyo basi walikuwa wanahitaji tu kutoka sare yeyote ili kuwa kwenye fainali lakini wanachelsea pia walikuwa na nia zingine . Ngolo kante alitangulia kufunga dakika ya ishirina na saba baada ya kupiga shuti moja kali, kuweka chelsea mbele na kuwa sawa kwa mabao kutokana na mechi ya kwanza kisha baadaye mbelgiji Eden Hazard aliongeza bao la pili dakika kumi baadaye  hivyo basi kutia moyo wanaspurs. Chelsea ilionyesha mchezo nzuri kwa mechi huo lakini kipindi cha pili ulikuwa wa kusisimua sana baada ya Totenham kusawazisha mambo kupitia kichwa chake Fernando Llorente dakika tano tu baada ya kutoka mapumzikoni. Kila timu ilijaribu kwa udi na uvumba kupata bao la ushindi lakini juhudi zote zil...

kamayotheblogger: kilio cha vijana wanaorandaranda''chokora''

kamayotheblogger: kilio cha vijana wanaorandaranda mitaani''chokora'' : Vijana wanaorandaranda mtaani wanaofaamika kwa lugha ya kimombo kama ‘’street boys’’ hupitia mashida mengi sana wanapozurura kando ya barab...

kesi mahakama

Mahakama ya Winam jijini Kisumu, imeahirisha kesi inayomkabili Nancy Awuor anayetuhumiwa kupokea pesa kwa njia za udanganyifu. Mbele ya hakimu Bernard Kasavuli, mahakama iliambiwa kua mwanadada huyo alipokea pesa kutoka kwa Dorcas Atieno na Damaris Atieno, akidai kua angewauzia bidhaa mbali mbali. Dorcas amesema kuwa alimpa Nancy shilingi 55,000 akiahidi kumuuzia jokovu au friji na runinga. Damaris naye amesema kua alimpa Nancy shilingi 25, 000 akiahidi kumuuzia home theatre, mnamo tarehe tisa mwezi wa Sita mwaka jana. Nancy Awuor alikanusha mashtaka hayo, na kuomba kuachiliwa dhamana. Aliachiliwa kwa dhamana ya shilingi alfu 70 pesa taslimu, au shilingi laki mbili na mdhamini wa kiasi sawa na hicho. Kesi hiyo itasikilizwa tarehe 14 mwezi Mei, mwaka huu.